Videos

Kwa zaidi ya wiki mbili ‘Niroge’ ya Vanessa inashika namba 2 katika TOP 10 ya kituo kikubwa cha TV Afrika

on

Mrembo kutoka katika kiwanda cha Bongofleva Vanessa Mdee ameendelea kuwa mtanzania pekee kushika nafasi za juu katika chati za muziki za Africa Hit Top zinazooneshwa na kituo cha kimataifa Trace Urban ambacho kinapiga video zenye viwango vya kimataifa, Vanessa ameendelea kushika namba mbili kwa zaidi ya mara mbili mfululizo na video ya hit single yake ya ‘Niroge’

n2

Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee video nane za Afrika zilizofanikiwa kuingia katika TOP 10 ya Africa ya Trace Urban

8- Skuki, Lil Kesh  Lori Standing

7- Falz, Simi Soldier

6- Saut Sol ft Alikiba Unconditionally Bae

5- Mayunga Please Don’t Go Away

4Kiss Daniel Mama

3-

2- Vanessa Niroge

1- Partoranking Another Level

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments