Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Wema Sepetu alivyowasili kwenye uzinduzi wa movie yake

on

Usiku wa September 28, 2018 Muigizaji maarufu Wema Sepetu alifanya uzinduzi wa Movie yake mpya ambayo alimshirikisha muigizaji kutokea Nollywood, Van Vicker huku uzinduzi huo ukiambata na sherehe yake ya siku ya kuzaliwa.

Hii hapa ni video fupi ya Wema Sepetu alivyowasili kwenye uzinduzi huo na kuvamiwa na waandishi wa habari.PLAY CHINI KUTAZAM VIDEO ILIVYOKUWA

VIDEO: Namtakia Maisha marefu Wema, Diamond hajanituma’- Mama Diamond

Soma na hizi

Tupia Comments