Habari za Mastaa

Wanaume wamfanya Wolper aingie uoga na kupiga chini mpango wake

on

Muda mfupi baada ya Jacqueline Wolper kutangaza vigezo vya mwanaume anayetamani kuzaa naye, amefuta ujumbe huo na kuomba radhi kutokana na simu za wanaume wengi kujitokeza kuitaka nafasi hiyo.

Wolper ambaye hakutegemea matokeo ya ujumbe wake huo ameamua kuomba radhi na kutaka wanaume waliojitokeza kuwa wapole huku akiwakumbusha kuwa sasa kuna ugonjwa wa Corona hivyo ukiisha atarudi tena na swala hilo.

Wolper ameandika haya Kwenye page yake ya Instagram

 

Soma na hizi

Tupia Comments