Top Stories

Waziri Biteko: “wapo wafanyabiashara 12 wanaotorosha madini”

on

Waziri wa madini  Dotto Biteko ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaotorosha madini nakusema wapo wafanyabiashara 12 wanaojihusisha na utoroshaji wa madini na wamefuatiliwa kwa kipindi cha miezi mitatu.

UCHAGUZI MKUU 2020: HII HAPA IDADI YA WAPIGA KURA, TUME YA UCHAGUZI YATOA KAULI

Tupia Comments