Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Utafiti: Vitu 3 vitakavyoifanya Afrika iilishe dunia nzima ifikapo 2050
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Utafiti: Vitu 3 vitakavyoifanya Afrika iilishe dunia nzima ifikapo 2050
Top Stories

Utafiti: Vitu 3 vitakavyoifanya Afrika iilishe dunia nzima ifikapo 2050

October 14, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Bara la Afrika linafahamika duniani kwa shughuli za kilimo kama msingi wake mkubwa wa maendeleo yake ya uchumi na inatabiriwa kuwa kufikia mwaka 2050 Afrika itaweza kulisha dunia nzima.

Hii inatokana na ongezeko la watu linalotarajiwa kuongezeka kufikia bilioni 9.1 ambapo uhitaji wa chakula pia utaongezeka sana na Afrika kutokana na kilimo chake inauwezo wa kufanikisha hilo. Hata hivyo imeelezwa kuwa hili litafanikiwa kama mambo matatu yafuatayo yatafanyika

1.Kuwekeza kifedha katika sekta hiyo

Serikali za nchi za Afrika ni lazima zitenge bajeti kubwa kwa ajili ya sekta ya kilimo ambazo zitasaidia kutoa mikopo kwa wakulima kwa ajili ya uzalishaji ili mavuno yenye ubora yaongezeke.

Inaelezwa kuwa uwekezaji mkubwa katika kukiboresha kilimo kutoka ngazi ya chini kutaongeza matokeo makubwa sana ya sekta hiyo na kunufaisha watu wake.

Image result for Agriculture

2. Kuwekeza zaidi katika vijana

Wataalamu wa uchumi wanaeleza kuwa kama nchi za Afrika zitawekeza nguvu nyingi katika vijana ili wajihusishe katika kilimo na kukifanya kiwe chanzo kikubwa cha mapato yao, sekta hii italeta mapinduzi makubwa.

Global Food Supply

3. Teknolojia

Pia mapinduzi ya uchumi kupitia kilimo yataratibiwa kwa haraka sana na matumizi ya teknolojia katika sekta hiyo. Teknolojia mpya zitasaidia kuongeza ufanisi na ubora wa shughuli zote za kilimo suala litakalo endeleza sana kilimo.

Global Food Supply

Ulipitwa na hii? Kama una mpango wa kulima mbogamboga, kuna hii ya kufahamu

You Might Also Like

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

TAGGED: Afrika, TZA HABARI, Uchumi, utafiti, Wizara ya Kilimo
Admin October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wataalamu: “Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla”
Next Article Hiki ndicho kisiwa kinachotisha kuliko vyote duniani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?