Burudani

Harmonize asogeza mbele tamasha lake lililotarajiwa kufanyika Shinyanga mwezi huu

on

NI Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ambae leo Novemba 6, 2019 kupita mtandao wake wa instagram ameutaarifu umma juu ya kusogeza mbele tamasha lake lililotarajiwa kufanyika tarehe 9 wiki hii mkoani Shinyanga

Na Badala yake tamasha hilo litafanyika tarehe 14/12/2019 katika uwanja wa Kambarange, staa huyo ametoa taarifa hiyo kwa kuandika hivi na Nukuu

Kutokana Na demand ya #UNOLIVE kuwa Kubwa hatutofanya Shinyanga peke yake siku ya tarehe 9/11/2019 Kama tulivyokuwa tumepanga mwanzo….!!!!!’– Harmonize

‘Bali tumepeleka mbele mpaka tarehe 14/12/2019 Shinyanga uwanja wa kambarange kisha tutafumua Kahama & Mwanza Week Hiyo hiyo Moja soon nawapa tarehe wanangu wa Kahama’- Harmonize

‘Kwahiyo Mwambie Mwenzio Kua Oda Toka Jeshini Inasema #Jeshi Hatohudhuria Tarehe 9/11/2019 Zichange Tukutane Tarehe 14/ #Shinyanga #Kahama – Harmonize

 

ROSA REE AJUTIA VIDEO YAKE YENYE SCENES ZA UTUPU MSIKILIZE HAPA ALICHOKIZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments