Habari za Mastaa

In My Shoes ya Wema Sepetu msimu wa pili episode 10 iko hapa

on

Wemaaaaaaaaa

 

Mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu hukutana na watu wake wa nguvu kila wiki kupitia show yake ya TV (Eatv) inayohusu maisha yake pamoja ishu nyingine zinazomuhusu time hii amekuletea in my shoes ya msimu wa pili iliyopo katika nafasi ya kumi.

Itazame #In my Shoes msimu wa pili episode 10 kwa ku play hapa

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments