Habari za Mastaa

DIAMOND: List ya Mastaa wa Marekani wanaomkubali yaongezeka

on

Staa Diamond Platnumz anazidi kuzichukua headlines za burudani kila siku huku akipeperusha vizuri bendera ya Tanzania na Afrika katika ulimwengu wa muziki kimataifa na kujiongezea mashabiki na umaarufu mkubwa.

Stori ni kwamba sasa idadi ya mastaa wa Marekani wanaomkubali Boss huyo wa WCB inazidi kuongezeka baada ya DJ Khaled kum-follow kwenye account yake ya Instagram. Hii inakuja siku chache baada ya rapa Rick Rose kumpost mwimbaji huyo wa Bongofleva.

SAIDA KAROLI: “Waliotaka kuniroga walinipigia simu tena”

STATUS ZA HIZI VIDEO 2 MPYA: Seduce me na Zilipendwa

Soma na hizi

Tupia Comments