Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mtanzania mwingine aliyetengeneza kifaa cha kutunzia kumbukumbu

on

Miongoni mwa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia ni pamoja uvumbuzi wa vitu mbalimbali vya kiteknolojia ambavyo husaidia katika maisha ya kila siku ambapo hata Tanzania wapo wanaovumbua.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mkuranga Eng Mshamu Munde naye ametengeneza kifaa maalumu kwa ajili ya kuhifadhia kumbukumbu baada ya kuona uhaba wa kuhifadhia kumbukumbu na kifaa hicho ni maalumu kwa ajili ya kuhifadhia kumbukumbu ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa kwa njia ya TEHAMA.

Ombi la Jamii ya wafugaji kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii

Soma na hizi

Tupia Comments