February 07,2019 superstar Timaya alituonyesha cover ya Album yake ‘Chulo Vibes’ yenye jumla ya ngoma tisa ambazo amewapa shavu wasanii tofauti tofauti kwa kuwashirikisha ikiwemo Alikiba ambaye sauti yake imesikika kwenye ngoma namba tano ambayo ni ‘Number One’
Katika wimbo huo Alikiba ameimba kwa sekunde 40 aliyoshirikishwa na mkali huyo kutokea nchini Nigeria. Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza verse aliyofanya King Kiba.
https://youtu.be/YCBan8EzAQE
DUH! UTANI WA JOTI KWA STEVE NYERERE KUHUSU OMMY DIMPOZ