Alichosema Dogo Janja kuhusu picha za Ben Pol zenye gumzo
Share
1 Min Read
SHARE
Story ya Mwimbaji wa R&BBen Polku-upload picha kwenye account yake ya Instagram zinazomuonesha akiwa mtupu na kuwa gumzo kwenye mitandano ya kijamii inaendelea kuchukua sura mpya huku baadhi ya mastaa wamekuwa na maoni tofauti juu ya hilo.
Kupitia The Weekend Chart Showinayorushwa na Clouds TV May 19, 2017 staa kutoka Bongoflevani Dogo Janja ameeleza hisia zake katika tukio hilo akisema Ben Pol ni shujaa kwa kitu alichokifanya.
>“Ben Pol ni shujaa. Mimi nimependa alichokifanya hasa. Role modal wake si John Legend kwa hiyo hata content zake ndio zile japo kwa Ben siwezi ku-judge kitu maana sijui dhamira yake ilikuwa nini. Mpaka sasa hivi nimekuwa mtu wa kufuatilia account yake” – Dogo Janja.
Picha ambazo Ben Pol amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram zilizoleta mzozo
Linah amewataja Wabunge watano anaowakubali…vipi kuhusu Vyeti feki?