Habari za Mastaa

Young Killer Feat. Linah, Ommy Dimpoz & ROMA- ‘Mungu Baba’.. Unaweza kuicheki VIDEO iko hapa tayari..

on

KAZNStar wa Super Nyota 2012 kutoka Mwanza, Young Killer ameshasikika kwenye ngoma nyingi zake na nyingine ambazo kapewa collabo pia.. ni mkali ambaye tayari anafaamika kwenye  muziki.

Leo karudi na hii.. unadhani nayi itakuwa hit kama zilizotangulia?? List ya sauti za mastaa waliopewa collabo yuko LinahOmmy Dimpoz na Roma.. wimbo unaitwa  ‘Mungu Baba’  video imefanywa na director Khalfani

Young-Killer-Mungu-Baba-300x194

Kuwa wa kwanza kutazama video hii kwa kubonyeza play hapa chini…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments