Habari za Mastaa

Alichokisema Wema Sepetu kuhusu yule dada anaesemakana kutoka na aliyekua Boyfriend wake.

By

on

You-heard21Wiki kadhaa zimepita sasa tangu kutangazwa kuwa Wema kanyang’anywa kila kitu na mtu anaesemekana kuwa alikua mpenzi wake ambae kwa maelezo inasemekana yeye ndiye aliyenunua vitu hivyo,baada ya hapo zikapita story kuwa jamaa kwa sasa anamchukua rafiki wa Wema,sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm Kagera.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments