Habari za Mastaa

Yule Mganga wa AT si kaenda Mahakamani, stori kamili hii

By

on

Screen Shot 2014-02-07 at 9.16.50 PMFebruary 6 2014 You heard ilihusu yule jamaa anaesemekana kuwa mganga wa msanii wa AT juu ya pesa anazomdai AT na akasema kuwa kamkimbia, sasa hatimaye AT kapelekewa barua hiyo inayomtaka Mahakamani mwezi March 2014, sikiliza mkasa wote hapa chini kwa kubonyeza play…. kumbuka CloudsFM inasikika kupitia 96.5 Geita.

barua
Bonyeza play kusikiliza.

Screen Shot 2014-02-07 at 9.17.42 PM

Tupia Comments