Habari za Mastaa

Kama hukupata mualiko wa Accoustic Musical Concert pale Escape 1 hizi hapa picha zake.

By

on

19Tanzania House of Talent[THT]usiku wa February 06 waliandaa tamasha maalum ambalo halikuwa na kiingilio bali watu walikua wakiingia kwa kadi maalum zilizotolewa kwa watu kadhaa kwa ajili ya kushuhudia onyesho hili ambalo pia lilipata surprise toka kwa Marlow.

16Usiku huu Ulitawaliwa na muziki wa live kila kitu mpaka zile ulizozizoea kuzisikia kwenye midundo ya Hip Hop ilikua ikipigwa live,miongoni mwa wasanii wa hip hop waliopanda jukwaani na live band ni pamoja na Fareed Kubanda ‘Fid Q’.

9Nimeambiwa kuwa show hii itaruka siku ya Valentine February 14 kupitia The Peoples Station Clouds Tv hivyo utashuhudia kilichotokea kama ulikosa kuwepo.

18

12

13

14

 

3

1

4

 

Tupia Comments