Ni Septemba 17, 2023 ambapo Young Africans ambapo wakati wakielekea uwanja wa Ndee wa Kimataifa mjini Kigali baada ya kumaliza mtanange wao dhidi ya Al-Merrikh SC na kufanikiwa kuibuka kwa magoli ya 2-0 sasa leo wamefika kwenye kituo cha kumbukumbu cha Kigali Genocide Memorial ambapo walipata wasaa wa kuomboleza na kuwakumbuka wote walioathirika na Mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994.
Young Africans wafika kwenye kituo hiki cha Kumbukumbu ‘Genocide Memorial’ mjini Kigali Rwanda
Leave a comment
Leave a comment