Inaelezwa kuwa bifu lilokuwepo kati ya Rapper Drake na Chris Brown limemalizaka usiku wa October 12,2018 katika tour ya Aubrey & the Three Amigos baada ya Drake kumpandisha Chris Brown kwenye stage moja.
Ngoma ya ‘Party’ ndio aliyoingia nayo Chris Brown alipopandishwa jukwaani na baadae kumalizia na ngoma ya ‘Freaky Friday’ huku ikilelezwa kuwa Drake ana mpango wa kufanya kazi kibao na Breezy na kuachiwa sokoni hivi karibuni.
Inasemakana kuwa wawili hao wamekuwa kwenye bifu kwa muda mrefu kutokana na wengi kumuhusisha mwanadada Rihanna kama chanzo ikiwa aliwahi kuwa mapenzini na Chris Brown na baadae kudaiwa kuwa kwenye mapenzi mapya na Drake .
Kupitia ukurasa wa instagram wa Drake amesema kuwa mara ya mwisho aklikuwa kwenye stage moja na Chris Brown ni 2009 katika chuo cha Virginia Commonwealth .
https://youtu.be/VufGOpYqXKk
Kutoka Morogoro Gairo anapozikwa Pancho Latino