Habari za Mastaa

VIDEO: Aliyemuandikia Ommy Dimpoz wimbo anaingiza milioni 5 toka kwa Mastaa

on

Msanii Tomy Flavor ambaye alihusika kwenye uandishi wa wimbo wa One day wa msanii Nandy amezungumza kuhusu kuandikia mastaa wengine wakubwa kama Vanesa Mdee, Ommy Dimpoz na hata kutokea Kenya kama Avril na Wahuu huku akiingiza mpaka millioni tano.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

VIDEO: Majibu ya Sengo baada ya kubananishwa ishu ya kuzaa na Steve

Soma na hizi

Tupia Comments