Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

MJ Records imetambulisha ‘Kundi’ Jipya Bongoflevani..

on

Mj Records ni Miongoni kati ya studio kubwa na kongwe Tanzania ambazo zimetoa vipaji vingi na vikubwa toka miaka ya nyuma,studio hii pia inamilikiwa na Producer mkongwe Master Jay sasa Good news iliyonifikia ni kuwa studio hiyo mwaka huu imeuanza kwa kutambulisha kundi jipya la muziki wa Bongo Fleva lenye wasichana tupu linaloitwa Hanike Band.

Hanike Band ni muungano wa wasanii watatu ambao ni Haithamkim,Nini Tz pamoja na Kella Tz,kwenye post za mmoja wa wanaounda kundi hilo anaeitwa Nini Tz ameandika>> ‘Kutoka @mjrecordstz @haithamkim ,@nini_tz na @kellah_tz tumeungana na Kuunda Kundi Linaloitwa @hanikeband SUPPORT #VIPAJIMAALUMU Cc; @marcochali @masterjtz

Kama hukuiona hii ya Master Jay kurudi kwenye Bongo Fleva,bonyeza play mtu wangu.

Tupia Comments

Advertisement