Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO MPYA: Yemi Alade katuletea hii mpya ya Valentine Day “Sugar n Spice”

on

Ikiwa wimbo wake wa Tumbum na nyingine nyingi zinafanya vizuri kwenye TV na Radio Stations mbalimbali, mwanadada Yemi Alade wa Nigeria ameona asilaze damu na ametuletea video yake mpya ya ‘Sugar n Spice’, Yemi alitumia ukurasa wake wa Instagram kusema kwamba Valentines Day kwake kama imewahi hivi.

yemi1

Unaweza kuitazama video hiyo ya ‘Sugar n Sauce’ kwa kubonyeza PLAY hapa chini>>>

Video: FULL VIDEO: Yemi Alade performance FIESTA 2016 Dar es salaam>>>

Tupia Comments

Advertisement