Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kama umewahi kuitazama Isidingo, huyu ndio mwigizaji wao aliefariki jana.
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
December 4, 2023
Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope
December 4, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Kama umewahi kuitazama Isidingo, huyu ndio mwigizaji wao aliefariki jana.
Habari za Mastaa

Kama umewahi kuitazama Isidingo, huyu ndio mwigizaji wao aliefariki jana.

January 20, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

letty 2Lesego Motsepe maarufu kama Letty Matabane ni staa wa tamthilia ya Isidingo ambae uigizaji wake kwenye sehemu kubwa ya tamthilia hiyo ambayo Watanzania wengi wamekua wakiifatilia kupitia ITV.

Taarifa iliyotolewa inasema kaka mtu ndio alimkuta Letty akiwa amefariki nyumbani kwake saa tano asubuhi January 20 2014 ambapo kifo chake kilithibitishwa saa kadhaa baadae.

Letti 1

Mwaka 2011 mwishoni Motsepe alitangaza hadharani kuwa amekua akiishi na virusi vya ukimwi kwa karibu miaka 13 na uamuzi huo wa kujitangaza alitaka kuleta mabadiliko na kuwasaidia wale wanaoishi kwenye aina hiyo ya maisha kama yake.

Pamoja na kwamba alijitangaza kuishi na virusi vya ukimwi, chanzo cha kifo chake hakijatangazwa bado.

Screen Shot 2014-01-20 at 9.44.32 PM

letti 3Ripoti hii imetolewa na Mail & Gurdian.

Screen Shot 2014-01-20 at 9.39.51 PM

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Millard Ayo January 20, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Niruhusu nikupeleke Ikulu kupitia hapa, nikuonyeshe jinsi walivyoapishwa leo.
Next Article Interview aliyoifanya mwezi uliopita Lesego Motsepe ‘Letty Matebane’ wa Isidingo aliefariki jana.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
Top Stories December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
Top Stories December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
Sports December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
Sports December 4, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

December 4, 2023
Top Stories

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

December 4, 2023
Sports

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

December 4, 2023
Sports

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

December 4, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?