fB insta twitter

Post mbili alizopost Jokate leo Instagram. ‘huyo ananimaliza’ @JokateM

on

Screen Shot 2014-08-21 at 1.46.23 PM
millardayo.com inatambua kwamba Jokate ameshaingia rasmi kwenye kufanya muziki wa bongofleva huku akithibitisha kuwa na nyimbo alizorekodi tayari na atazitoa hivi karibuni kwenye Radio, ni kitu ambacho alikizungumza baada ya kupanda kwa suprise kwenye stage ya Fiesta 2014 Mwanza na kuperform moja ya nyimbo hizo mpya

Baada ya kukueleza hayo nataka kukukutanisha na picha alizoweka Jokate leo ambapo moja ameandika ‘huyo ananimaliza‘ na nyingine ameandika ‘nampeleka kwa babu wangu wa Kingoni

Bila kutoa maelezo zaidi ya hapo ambapo Wataalamu wa mambo wanahisi hii inaweza kuwa teaser ya video yake mpya kutoka kwenye moja kati ya nyimbo zake.
Screen Shot 2014-08-21 at 1.46.32 PM Screen Shot 2014-08-21 at 1.48.46 PM Screen Shot 2014-08-21 at 1.48.52 PMNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments