Habari za Mastaa

‘Nilikunywa damu ya kuku na kuuza mali zangu zote’ – Hafsa Kazinja

on

Mwimbaji aliyekuwa kwenye muziki wa Bongo Fleva Hafsa Kazinja aliyetamba na ngoma yake ya ‘Presha’ aliyomshirikisha Banana Zoro amefunguka kuhusiana na safari yake ya maisha hadi kufikia kuuza mali zake zote na kwenda kwa waganga naw kwa sasa amejikita kwenye muziki wa Gospel.

Kwenye Exclusive interview na AyoTV  Hafsa Kazinja ambaye kwa sasa anafahamika kama Christine Kazinja ameyaongea hayo, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

NOMA!! VITUKO VYA SHILOLE NA MZAZI MWENZIE ASLAY NDANI YA BAR YA UWOYA

Soma na hizi

Tupia Comments