Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Papii Kocha amefunguka kuhusiana na upendo alionao kwa Rais JPM mpaka kufikia kumchora tattoo na hivyo kumchukulia kama baba yake mzazi endapo akipata ruhusa ya kuoa kutoka kwa Rais basi atafanya hivyo.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza mwanzo mwisho alichozungumza Papii Kocha.
EXCLUSIVE: Papii Kocha na Joto DSM Kuna nini tena?