Habari za Mastaa

Umeiona video mpya ya AT?ipo hapa.

on

atWale wa miduara huu mzigo wenu kutoka AT ambaye aliwahi kuwa member wa kundi la Offside Trick lililokuwa na makazi yake Zanzibar,wiki chache zilizopita kuna taarifa zilitoka za kup0elekewa barua anahitajika mahakamani sababu ikiwa hakumlipa Mganga wake.

Inawezekana hili likiwa jibu kwa huyo Mganga wake itazame hapa video hii mpya kutoka kwa AT.

Tupia Comments