Habari za Mastaa

Hivi ndivyo Instagram ilivyomponza Abdul Kiba.

on

Screen Shot 2014-02-20 at 5.47.02 PMWengi huwa wanasema mitandao ya kijamii ukiitumia vibaya inaweza kukuletea madhara sana na kama utaitumia vizuri basi inaweza kukuletea mafanikio makubwa sana,leo kupitia You herad ya leo Soud Brown ana-amplify namna Abdul Kiba Instagram ilivyomponza.

abdulSikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments