Pep Guardiola kamuomba msamaha Cristiano Ronaldo, kisa?
Siku moja baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kuweka wazi kuwa angependa Real Madrid icheze na Benfica hatua ya nusu fainali…
Rais Magufuli ametengua tena uteuzi wa mtendaji mwingine wa Serikali
April 14 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa…
VIDEO: Mbwa kapewa jina la Ronaldog kisa ni uwezo wake wa kuuchezea mpira
April 14 2016 kama utakuwa ni mfuatiliaji wa vituo vya tv kama BBC najua utakuwa umeona video ya Ronaldog, mbwa mwenye uwezo wa kuuchezea mpira, Ronaldog ni mbwa ambaye alinunuliwa…
Mwenendo wa Jengo la Machinga Complex umesababisha Waziri wa Magufuli kutoa maamuzi haya
April 14 2016 yamefanyika maadhimisho ya Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ‘Tamisemi’, George Simbachawene amepata fursa ya kuzungumza na akatoa…
Breaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na mkewe
Kesi iliyokuwa ikiwakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, wameishinda leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo walikuwa wakituhumiwa…
Waziri Nape na Rc Makonda walivyoungana na wananchi kumuaga Ndanda Kosovo Dar..(+Video)
April 9 2016 muziki wa dance ulipata pigo baada ya kuondokewa na mkali wa muziki wa dance Tanzania Ndanda Kosovo ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 14 2016 kwenye,Udaku, Hardnews na michezo
April 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
VIDEO: Kauli ya Jumhuri Kihwelo baada ya timu yake kufungwa na Yanga 2-1 wakiwa pungufu
Baada ya mechi ya Dar es Salaam Young Africans dhidi ya Mwadui FC kumalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-1, huku tukishuhudia Mwadui FC wakimaliza mchezo huo bila…
VIDEO: Yalivyonaswa magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC, Full Time 2-1
Baada ya TFF kusogeza mbele michezo kadhaa ya Yanga ili kuwapa nafasi ya kujiandaa na michezo ya Klabu Bingwa Afrika, April 13 2016 ilikuwa ndio siku ya kucheza moja kati…
FC Barcelona imevuliwa Ubingwa wa UEFA na Atletico Madrid kwa kipigo hiki (+Video)
Usiku wa April 13 2016 ndio zilichezwa mechi mbili za mwisho za hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya, klabu ya FC Barcelona ilikuwa mgeni dhidi…