Yaliyojiri katika kesi ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake
Mtaalamu wa mabomu aliyetoa ushahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, alisema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipompiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp nchini Afrika Kusini. Ushahidi huu…
Kuhusu Robben kuongeza mkataba mpya na Bayern.
Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga Bayern Munich Arjen Robben ameongeza mkataba wake kwa miaka miwili ambapo hii imethibitishwa na klabu yenyewe. Robben ambae alihamia Munich akitokea Real Madrid mwaka…
Fahamu alichosema kocha wa zamani wa FC Barcelona kuhusu kufundisha
Kocha wa zamani wa timu ya Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi Frank Rijkaard amechukua uamuzi ambao umewashtua watu wengi wapenda soka duniani. “Kwa namna mambo yalivyo sasa natangaza…
Zawadi Chelsea waliyompa Didier Drogba.
Gwiji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba jana usiku alirudi nyumbani Stamford Bridge lakini akiwa anaichezea Galatasaray dhidi ya Chelsea, timu iliyochangia ujazo mkubwa sana kwenye jina lake Katika mchezo…
Hiki ndio Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Azam FC
Fahamu kikosi cha Yanga kilichotangazwa kuanza leo dhidi ya Azam FC Juma Kaseja – 29 Juma Abdul – 12 Oscar Joshua – 4 Nadir Haroub “Cannavaro” – 23 Kelvin Yondani…
Alichofanya Messi baada ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Barca
Jumamosi iliyopita Lionel Messi aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye soka dhidi ya Osasuna aliifikia na kuipita rekodi ya magoli ya gwji wa klabu ya FC Barcelona Paulino Alcantara ambaye aliifungia Barca…
Kuhusu Dudubaya kumpiga Mfanyabiashara Mwanza.
Stori hizi ana-amplify Soud Brown ambapo tukio hili limetokea 88.1 Mwanza ambalo linamhusisha Dudubaya kumpiga Mfanyabiashara wa Mwanza siku ya Jumapili saa 1 Asubuhi. 87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Moshi.…
Pata takwimu mbalimbali kuhusu mechi ya Yanga vs Azam FC
AZAM FC na Yanga zimekutana mara 11 kwenye ligi kuu, Yanga ikiwa imeshinda michezo mitano, huku Azam FC ikishinda michezo minne na michezo miwili zikitoka sare. Nje ya ligi kuu…
Sikiliza hapa wimbo wa Barakah da Prince – jichunge.
Huyu ni msanii mpya wa kiwanda cha muziki wa Tanzania ‘Bongo Fleva’ anaitwa Barakah ni mwenyeji wa 88.1,baada ya kuachia video ya wimbo huu ambayo wiki iliyopita leo kaachia audio…
Sikiliza kituko alichokifanya Mke mkubwa kwa Mke mdogo kupitia Hekaheka ya leo.
Hizi ni kati ya stori ambazo unapata kuzisikiliza kupitia kisehemu cha Hekaheka kupitia Leo Tena ya Clouds Fm na ni stori ambazo hutokea uswahilini na mitaani tunakoishi,kutana na hii ambayo…