Sikiliza kituko alichokifanya Mke mkubwa kwa Mke mdogo kupitia Hekaheka ya leo.
Hizi ni kati ya stori ambazo unapata kuzisikiliza kupitia kisehemu cha Hekaheka kupitia Leo Tena ya Clouds Fm na ni stori ambazo hutokea uswahilini na mitaani tunakoishi,kutana na hii ambayo…
Kutana na mchekeshaji wa Kenya akizungumzia tabu wanayoipata watu kununua kinga (condom)
Huyu ni mchekeshaji Mkenya anaitwa Owago ambae kwenye dakika hizi nne anaelezea vitu mbalimbali vinavyohusiana na ununuzi wa kinga (condom) ambavyo vinatokea kwa Wanaume na wauzaji wenyewe.
Roma anasema amekutana na haya toka single yake mpya ya KKK itoke.
Karibu kwenye kalamu au KKK ni jina la single mpya ya Roma Mkatoliki ambayo ina siku kadhaa ambapo Roma amezungumza na millardayo.com na kueleza baadhi ya matukio aliyokutana nayo kutokana…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo March 19 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Video ya wimbo wa staa Mnigeria alieupa jina la maneno ya Kiswahili.
Kcee ni staa kutoka Nigeria ambae amekua akipata airtime hata kwenye vituo vya Tanzania na single zake kama ‘Limpopo’ pia single nyingine aliyofanya na Wizkid ya ‘pull over’ Hii ni…
Matokeo ya Chelsea vs Galatasaray na Real Madrid vs Schalke March 18 2014
Kama unataka kuwa karibu na stori kama hizi kaa karibu yangu mtu wangu kupitia twitter @millardayo pia facebook na instagram kwa jina hilohilo.
Habari 10 za Amplifaya March 18 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Msikilize Mbwiga leo March 18.
Huu ni udambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March 18,leo kaizungumzia timu ya Pamba Fc ya 88.1 Mwanza. Bonyeza play kusikiliza
List ya makocha na wachezaji wa soka wanaolipwa vizuri duniani. Messi vs Ronaldo nani juu?
Jarida linaloheshimika kwa kiasi katika ulimwengu wa soka duniani ‘France Football’ leo hii limechapisha listi ya wachezaji na makocha 20 wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja. Mapato ya wanasoka…
Unaambiwa hii ndio kadi nyekundu iliyotolewa mapema zaidi Amerika ya kusini
Unaambiwa sekunde ya 24 tu baada ya mchezo kuanza refa wa kimexico Marco Rodríguez aliitumia kadi yake nyekundu kwa kumtoa mchezaji nje ya uwanja. Historia iliandikwa wiki iliyopita katika mchezo wa…