PICHA 3: DC K’ndoni alivyotinga Hospitalini usiku kwa kujificha ili kujionea huduma
Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Ali Hapi amekuja na style mpya ambayo ameitumia kukagua huduma ya hospitali ya Mwananyamala Kinondoni usiku, huku akijificha kama mgonjwa. PICHA KWA HISANI YA HAKI…
Sentensi zilizotoka kwa Snura baada ya wimbo wake wa ‘Chura’ kusitishwa
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori zote za May 05 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya…
PICHA 6: Kilichotokea Rufani ya Kitilya na wenzake Mahakama Kuu leo
Aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’, Harry Kitilya, Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi benki ya Stanibic tawi la Tanzania pia ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 1996, Shose Sinare wamefika Mahakama…
VIDEO: Imenifikia hii ya kuhusu Mipaka ya Wafugaji na Wakulima Tanzania
Bunge la 11 limeendelea tena Dodoma leo Mei 5 2016, Katika Kipindi cha Maswali ya papo kwa pako kwa Waziri Mkuu Mbunge Sikonge Joseph kakunda amemuuliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
PICHA 6: Benz za umeme watakazopewa Leicester na bilionea baada ya kushinda Kombe la EPL
Wachezaji wa klabu ya Leicester City ambao wameisaidia klabu hiyo kuingia katika historia isiyofutika ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingereza kwa mara kwanza toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, tayari…
Mapya kuhusu mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam, RC Makonda kayaongea
Ni April 5, 2016 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam…
Madiwani K’ndoni wameamua haya baada Bilioni 7 kutafunwa, ikiwemo za Stand ya Makumbusho
Taarifa niliyoipokea muda mfupi uliopita inahusu maamuzi ya baraza la madiwani manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam kuwasimamisha kazi watumishi wawili akiwemo mwanasheria Mkuu wa Manispaa hiyo kwa kuiletea Serikali…
Migogoro ya ardhi imefikishwa bungeni leo, Waziri Mkuu Majaliwa katoa maamuzi haya..
Bunge la 11 limeendelea tena Dodoma leo Mei 5 2016, Katika Kipindi cha Maswali ya papo kwa pako kwa Waziri Mkuu Mbunge Sikonge Joseph kakunda amemuuliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
Baada ya kufungiwa na Serikali Jana, Snura kayaongea haya kwa waandishi wa habari leo
May 04 2016 Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo ilitangaza kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA mpaka hapo Snura atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo na kutoa wimbo huo…
Waziri Mkuu Majaliwa kaulizwa kuhusu haki za watu wenye ulemavu, haya ndio majibu yake..
Bunge la 11 limeendelea tena Dodoma leo Mei 5 2016, Katika Kipindi cha Maswali ya papo kwa pako kwa Waziri Mkuu Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA) Dr. Elly Marko Macha alimuuliza…