Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 4 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
May 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
VIDEO: FC Bayern Munich bye bye Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya klabu ya FC Bayern Minich dhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mei 3 2016 katika uwanja wa Alianz Arena…
Trending world wide: Dogo aliyepokea jezi kutoka kwa Messi, kifo cha mama wa rapper maarufu marekani
Huenda hukupata nafasi ya kuisikiliza Amplifaya ya Clouds FM Mei 3 2016 kutokana na kukosa time, lakini mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee stori mbili zilizoingia kwenye headlines za Trending World…
Mambo 10 muhimu ya kufahamu kuhusu Mabingwa wapya wa EPL Leicester City
Usiku wa Mei 2 2016 ndio ulikuwa usiku wa kihistoria kwa klabu ya Leicester City toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, huenda unafahamu kama Leicester wametwaa Ubingwa lakini hujui kama Ubingwa huo…
VIDEO: Mbunge Kangi Lugola alisimama bungeni akaitoa hii ya Wakulima hewa
May 3 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuwasilisha bajeti yake ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Waziri husika akiwa ni Mwigulu Nchemba ambaye…
Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania May 3 2016
Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time usijali millardayo.com imekurekodia habari 9 za May 3 2016 kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka ITV...Siku ya Uhuru wa Vyombo vya…
Mfahamu aliyegundua PIN Code za ATM duniani, fedha aliyolipwa haifiki hata laki moja
James Goodfellow aiishiye Glasgow, Scotland miaka ya 1960 alikuwa ameajiriwa na kampuni ya Kelvin Hughes na kuagizwa ajaribu kuibuka na mbinu ya kulinda fedha kwenye ATM za benki ya Midland Bank ambazo kwa…
Mtoto aliyepewa jezi na Messi ameondoshwa Afghanistan… Baba amekimbia nae
Ni Mtoto kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi ambaye anamkubali sana staa wa soka Lionel Messi na aliamua kuvaa mfuko wa plastiki wenye mfanano na jezi ya Messi kwenye timu ya taifa Argentina ambapo Messi…
VIDEO: Waziri Nchemba kaongea bungeni kuhusu kiwango hiki cha fedha
Mei 3 2016 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba alikuwa akiwasilisha bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/2016 katika Wizara yake. Hapa nimekusogezea dakika zake mbili kutokea bungeni Dodoma... https://www.youtube.com/watch?v=2XDAuHlLzNo&feature=youtu.be ULIIKOSA…
Yanga waibuka na ushindi dhidi ya Stand United, Tambwe kavunja rekodi yake
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo Mei 3 2016 kwa klabu ya Dar es Salaam Young Africans kushuka katika uwanja wa Kambarage Shinyanga kucheza na wenyeji wao Stand…