VIDEO: Mtazame Mkuu wa Dar es salaam akitoa maagizo matatu makubwa April 12
April 12 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa maagizo kwenye mambo matatu wakiwemo ombaomba wa mabarabarani, majengo makubwa yaliyojengwa kinyume na taratibu pasipo kuwa na parking…
T.B Joshua kaona stori ya kutajwa kwenye zile nyaraka za Panama, katoa tamko lake
Miongoni mwa habari kubwa za dunia hivi karibuni ni Nyaraka za Panama 'Panama Papers' zilizofichua kashfa ya ukwepaji kodi na utakatishaji fedha ulikofanywa na viongozi wa mataifa mbalimbambali, watu maarufu…
Makonda katoa siku sita, haya mambo matatu yashughulikiwe
April 12 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa maagizo kwenye mambo matatu wakiwemo ombaomba wa mabarabarani, majengo makubwa yaliyojengwa kinyume na taratibu pasipo kuwa na parking…
Picha 21: Utajiri wa Mwanasiasa mtata wa Marekani Donald Trump
Najua kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 12 2016 kwenye,Udaku, Hardnews na michezo
April 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
VIDEO: Nimeyanasa magoli yote ya Simba vs Coastal Union kwenye video, Full Time 1-2
Jumatatu ya April 11 2016 klabu ya Simba ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya klabu ya Coastal Union ya Tanga, katika mchezo huo Simba…
VIDEO: Tulivyowanasa wachezaji wa Coastal Union wakishangilia kuifunga Simba dressing room
April 11 2016 klabu ya Simba ya Dar es Salaam ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya Coastal Union ya Tanga uwanja wa Taifa Dar…
Unakaribishwa kuitazama video mpya ya Mpoto na Banana ya wimbo wa kuisafisha Dar es salaam
Ni kampeni ambayo imeandaliwa na mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda na wazo hili ameanza kulifanyia kazi hata kabla hajamaliza wiki mbili toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa,…
Maneno ya Le Mutuz baada ya Mama yake ‘Anne Kilango Malecela’ kuondolewa kwenye ukuu wa mkoa
Jina lake la kuzaliwa ni William Malecela na jina lake maarufu la mitandaoni ni Le Mutuz ambaye ni mmiliki wa williammalecela.com na leo April 11 2016 ameingia kwenye headlines za…
VIDEO: Diamond kayaongea haya baada ya kurudi Tanzania… ya Fally Ipupa, Awilo na mengine
Diamond Platnumz amemaliza kufanya show zake kwenye miji tisa ya Ulaya na sasa amerudi nyumbani Tanzania kwa ajili ya kuendelea na harakati nyingine.... wakati anatua Airport Dar es salaam AyoTV…