Dudubaya kaeleza kilichomfanya amuombe Shetta Msamaha, ila……
Kupitia mitandao ya kijamii kulisambaa video fupi ya Dudubaya ambaye ni msanii wa siku nyingi Tanzania akionekana kumtukana matusi ya nguoni msanii Shetta wa bongofleva kisa ni kutokana na msanii…
Pale Mrembo anapokuwa busy na simu wakati ametolewa ‘out’ na Boyfriend
Ni tabia ambazo watu wengi wanazo siku hizi... hizi simu za mkononi zinazotuwezesha kutazama video, picha na taarifa nyingine za kila siku huwa zinatuchukulia attention yetu sana.... nimeikuta hii kwenye Youtube…
Rais Kagame kuhusu Tanzania na Rwanda, saa kadhaa baada ya Rais Magufuli kurudi Tanzania
April 6 2016 Rais John Magufuli wa Tanzania aliungana na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika ufunguzi wa daraja la kimataifa mpakani mwa Tanzania na Rwanda na wakafungua pia Ofisi…
TRAILER: X girlfriend wa Chris Brown Karrueche kwenye movie mpya na Marques Houston
Karrueche Tran baada ya kuachana na Chris Brown alisema hataki tena drama hivyo atakua busy na kazi, sasa hivi ameanza kutuonyesha kazi zenyewe... kuna hii Trailer hapa chini ya movie…
VIDEO: Waziri alivyorushiwa kiatu kwenye mkutano na Waandishi wa habari Delhi
Jamaa mmoja huko Delhi India amemrushia kiatu Waziri Arvind Kejriwal akiwa kwenye mkutano na Waandishi wa habari ambapo kabla ya kukamatwa na kupelekwa Polisi, mrushaji wa kiatu hicho amesema alifanya hivyo…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 10 2016 kwenye, Hardnews na michezo
April 10 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
VIDEO: Magoli yote ya Yanga vs Al Ahly Full Time 1-1 April 9 2016 Dar es salaam
Game ya Yanga vs Al Ahly ilimalizika kwa sare ya goli 1-1 ambapo goli la kwanza liliingia dakika ya 9 AlAhly walilipata kupitia kwa Gamal na dakika ya 19 goli la kujifunga Yanga…
VIDEO: Warembo wa Tanzania walivyojitokeza kuonyesha vipaji vya kuigiza kwenye Xballer
Ernest Napoleon ni mwigizaji kutokea Tanzania ambaye uwezo wake tayari ameshauonyesha kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania, sasa hivi anajiandaa kufanya movie…
PICHA 4: Roma Mkatoliki kafunga ndoa leo nyumbani kwao Tanga
Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9…
VideoMPYA: Maua Sama katuletea video ya hit single ‘mahaba niuwe’
Maua Sama ni miongoni mwa warembo wanaofanya vizuri bongoflevani Tanzania na hivi karibuni amekua kwenye Top10 ya Radio na single yake ya 'mahaba niue'ambayo hakuwa ameifanyia video, leo April 9 2016…