CHADEMA imepata msiba, mbunge kafariki hospitali Dar es Salaam.
April 7 2016 ni siku ambayo jina la mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu liligonga headlines kwa kasi kutokana na taarifa za kifo chake kuenea mitandaoni,…
Kifo cha Kanumba kilivyokumbukwa leo April 07 2016 (Pichaz)
April 7 2012 tasnia ya filamu Tanzania ilimpoteza Steven Kanumba ambaye jina lake tayari lilikuwa limeanza kupenya katika nchi mbalimbali kutokana na uzuri wa kazi zake. Leo Alhamisi ya April…
Picha 23: Treni 11 za kifahari zaidi duniani, moja ilishawahi kuja Tanzania
Kuna baadhi ya watu wangu wa nguvu ambao wanapenda kusafiri kwa aina fulani ya vyombo vya usafiri kwa ajili ya mapumziko na kutalii sehemu mbalimbali, April 7 2016 kupitia tovuti…
Aneth David… msomi wa Chuo kikuu Dsm Tanzania aliyeshinda tuzo ya Mwanasayansi Afrika
Tanzania imepata headlines nyingine baada ya kupata mshindi msomi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Aneth David ambaye pamoja na Waafrika wengine, wameshinda tuzo ya Mwanasayansi mkubwa ajaye duniani…
Uliikosa Hotuba ya kwanza ya Rais Magufuli nje ya nchi? kuna dakika 7 hapa
Ni hotuba ya ziara yake ya kwanza nje ya nchi toka Rais Magufuli ateuliwe kuwa Rais wa Tanzania October 2015, aliyaongea haya kwenye ufunguzi wa daraja la kimataifa mpakani mwa…
Zawadi Rais Kagame aliyompa Rais Magufuli baada ya kufika kijijini kwake Rwanda
Baada ya Rais Magufuli kufanya uzinduzi wa kituo cha pamoja cha maswala ya Uhamiaji kitachokua kina Maafisa wa uhamiaji wa Tanzania na Rwanda kwa pamoja (jengo la pamoja litalofanya kazi…
PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari
Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika…
Picha 25: Mbunge Mr II anatimiza ahadi ya kurudi bongoflevani, nimemkuta akitengeneza hii video mpya
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr. II, Sugu) ameingia studio MJ Records na kutimiza ahadi yake ya kurudi kwenye game ya bongofleva ambapo alikaa kimya kutokana na kuchaguliwa tena kuwa Mbunge kwa…
Maswali Zamaradi Mketema aliyomuuliza Gardner G. Habash baada ya kurudi CloudsFM
Zamaradi Mketema ni mtangazaji wa show ya TAKE ONE CloudsTV ambapo wiki hii habari kubwa mjengoni ni kurudi kwa Gardner G. Habash kwenye Radio ambayo aliifanyia kazi na kuiacha December…
Uliiona picha ya Diamond Platnumz kutoboa pua?! ukweli ninao hapa
Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.…