Tanzania shughuli tunayo June 4 na September 3
Siku zinazidi kusogea na matumaini ya Tanzania yanazidi kupungua kuhusu safari ya Gabon mwaka 2017 katika michuano ya mataifa ya Afrika. Baada ya timu ya taifa ya Chad kujiondoa katika…
Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya….
Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu…
MAJIBU YAMETOLEWA: Mabasi ya haraka yakianza kazi Dar zile Daladala barabara ya pembeni vipi?
Mabasi ya mwendo wa haraka kwenye jiji la Dar es salaam yapo kwenye majaribio ya kuanza kazi hivi karibuni na inawezekana ulijiuliza kama itakuwa ni chaguo lako upande Mabasi hayo au…
PICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe soda na akakaa kwenye Mgahawa
March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airport ya Mwanza, kingine alichokifanya ni kwenda kwenye mgahawa wa…
BREAKING: Huwa tunaona tu kwenye filamu ila leo imetokea…. jamaa kateka ndege ya Misri ili mtu aachiwe gerezani
Ndege ya Egypt Air imelazimika kutua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Larnarca, Cyprus baada ya Rubani kulazimishwa kufanya hivyo akiwa angani na ni baada ya mtekaji huyo kumtishia kwamba…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 29 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 29 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
VideoMPYA: Kwenye video mpya za bongofleva mwaka huu ijumlishie na hii mpya ya Amini ‘hawajui’
Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake kadhaa kwenye game ya…
Kutana na Bilionea Mtanzania anaetaka kuanzisha Benki yake… anawazia kuinunua BARCLAYS Tanzania!
Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa wanaweza kuifanya nchi hii kutajwa zaidi kuwa na matajiri…
VIDEO: Hasira za Nicki Minaj baada ya kuona mlinzi wake anachezea simu badala ya kumlinda
Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia…
PICHA 25: Kwa Mabachela na wenye hela zenu mnaopenda nyumba za kifahari na mnaopenda nyumba ndogo
Kila mtu anapenda kuishi kwenye nyumba nzuri hiyo hamna anaepinga lakini sio kila mwenye kutaka nyumba nzuri na ya kifahari anaweza kuipata ndio maana mtu wako Millard Ayo huwa anakukutanisha…