Staa wa soka Uingereza ahukumiwa miaka 6 jela kwa kujihusisha kimapenzi na mtoto
March 24 2016 headlines za habari za kusikitisha katika ulimwengu wa soka zimezidi kutawala, ikiwa umepita muda mchache tu toka utangazwe msiba wa nguli wa soka wa Uholanzi na FC…
Utachukua siku ngapi kubomoa jengo la ghorofa 16 katikati ya jiji la Dar? Mtanzania kamaliza kazi
Kulikuwepo na taarifa za baadhi Majengo ya ghorofa jijini Dar es salaam kujengwa chini ya viwango, hali iliyomladhimu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutoa siku…
Johan Cruyff amepoteza maisha kwa kansa leo, Rais Kikwete na Shein watamkumbuka kwa hili
Ulimwengu wa soka March 24 2016 umepata taarifa za msiba wa nguli wa soka wa Uholanzi aliyewahi kuvichezea vilabu vya Ajax na FC Barcelona ya Hispania Johan Cruyff. Nguli huyo ameripotiwa na…
VideoMPYA: Juma Nature katoa video mpya inaitwa ‘Kidaruso’ humo ndani kaonekana Miss Tanzania 2014/2015
Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii…
BREAKING: March 23 usiku kuna Ndege imekamatwa ikisafirisha nyani, Maamuzi yametangazwa leo
Habari niliyoipokea muda mfupi uliopita zinamhusu Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Magembe kumsimamisha kazi Mkurugenzi msimamizi wa wanyama pori Charles Mulokozi kwa kutoa vibali vya kusafirisha wanyama kwenda nje…
Watoto wa Kitanzania walivyocheza mbele ya Vanessa Mdee alipotangaza kutafuta dancers
Vanessa Mdee ni mwimbaji hodari kutokea Tanzania ambapo wiki kadhaa zilizopita alitangaza kutafuta dancers ambao atasaini mkataba wa kufanya nao kazi kwenye majukwaa mbalimbali atakayotokea... tazama hii video uone waliojitokeza.…
Huu ndio ugonjwa wa kuambukiza unaosababisha vifo vingi duniani, Tanzania nayo imehusishwa
Kila tarehe 24 March dunia huadhimisha siku ya ugonjwa wa kifua kikuu, Siku hii ni maalum kwa ajili ya kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa huo…
Milioni 9 za Rais Magufuli leo March 24, 2016….ninayo video yenye sekunde 15 hapa
Rais Magufuli ametoa zawadi ya vyakula na vinywaji vyeye jumla ya Shilingi milioni tisa na laki tatu katika vituo vya malezi kwa Wazee na watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini ili…
VideoMPYA: Vanessa Mdee katuletea hii mpya inaitwa ‘niroge’
Single yake iliyopita ilikua 'Never Ever' na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa 'Niroge' naomba ukishaitazama niachie comment hapa chini na Vanessa atapita…
Wafahamu Wabunge wapya walioteuliwa na NEC
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulifanyika huku baadhi ya majimbo ya uchaguzi, uchaguzi uliahirishwa kutokana na kuwepo kwa sababu mbalimbali. Tume ya Uchaguzi iliteua jumla ya Wabunge wanawake wa viti maalum…