Kauli ya Juan Mata kuhusu tetesi za Zlatan Ibrahimovic kujiunga Man United
March 23 headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Sweden anayeichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kiungo wa…
Ishu ya Usumbufu kwa wazee hospitalini imemfanya Waziri wa Afya kuzitoa sentensi hizi leo..(+Video)
March 23 2016 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatekeleza agizo la kutoa huduma za afya bure kwa wazee…
Samatta hajakubali kuona rekodi ya Tanzania ikivunjwa na Chad mikononi mwake
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 imeshuka katika dimba la Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katika muendelezo wa michezo ya makundi…
Babu Tale aliiona afya ya Chidi Benz kwenye hii show akaguswa kumkimbiza kwenye matibabu
Mastaa kadhaa wa Tanzania walitumia time yao kumuongelea rapper Chidi Benz akiwemo staa wa bongo hiphop Fid Q ambaye alisema Chidi Benz asisimangwe wala kunyooshewa kidole kwa kutelezea kwenye utumiaji wa…
VIDEO: Mzuka wa Tegeta Club 71 walivyoiimba na kuicheza kamatia chini ya Navy Kenzo
Navy Kenzo ni kundi la wakali wa bongofleva linaloundwa na wawili ambao ni Aika na Nahreel, hii video ni ya show yao Club 71 Tegeta Dar es salaam ambapo wapo…
Maamuzi mengine leo kutoka kwa Waziri wa Magufuli
March 23 2016 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekutana na Baraza la Wazee wa Dar es salaam na kusikiliza changamoto zinazowakabili katika jamii. Katika kutatua changamoto…
Picha 9 kutokea katikati ya jiji la Dar baada ya mvua kunyesha leo March 23
Najua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia muonekano wa miji na majiji mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, na kazi yangu ikiwa ni kuhakikisha nakamilisha hitaji hilo, leo nakusogezea hizi picha…
Chama hiki kimeguswa na Tuhuma za Rushwa kwa Kamati za Kudumu za Bunge
March 22 2016 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alifanya mabadiliko ya baadhi ya wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge, huku akiwaondoa wenyeviti na…
EXCLUSIVE: Babu Tale kampeleka Chidi Benz Rehab… yafuatayo ni mambo ya kufahamu kutoka kwake
Babu Tale ni meneja wa kundi la Tiptop Connection na pia ni meneja wa Diamond Platnumz ambapo stori kubwa iliyomuweka kwenye headlines kuanzia March 21 2016 ni uamuzi wake wa…
Haji Manara katoka TFF anaelekea kwa waziri Nape, kisa Yanga na Azam FC
Klabu ya soka ya Simba March 23 kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu yao Haji Manara wamethibitisha kukabidhi barua yao ya malalamiko kwa shirikisho la…