Kauli ya kwanza ya Suarez, baada ya kumaliza adhabu ya kumg’ata Chiellini na kujiunga na Uruguay
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis Suarez amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake na kujiunga na kikosi cha timu…
Mwanzo mwisho Meya mpya wa Dar alivyopatikana March 22 2016… (+Video)
March 22 umefanyika Uchaguzi wa kumtafuta Meya wa Jiji la Dar es salaam, ikiwa ni baada ya uchaguzi huo wa kuahirishwa zaidi ya mbili. Uchaguzi huo wa Meya umefanyika kwa…
CCM Zanzibar mbele ya waandishi wa habari March 22 2016 (+Video)
Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimezungumza kuhusiana na askari kuendelea kutanda maeneo mbalimbali visiwani Zanzibar kulinda na kufanya doria, licha ya kuwa uchaguzi umemalizika. Mkuu wa itikadi na uenezi wa CCM…
Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz
Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016 Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya…
Usibet mechi ya Taifa Stars dhidi ya Chad, TFF wamekumbushia jambo (+Pichaz 4)
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 22 imekamilisha mazoezi yake ya mwisho pamoja na wachezaji wake nane waliokuwa wamechelewa kuwasili jijini N'Djamena Chad na kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya…
Sababu 5 kwa nini Jose Mourinho hajatajwa kuwa kocha wa Man United hadi sasa (+Audio)
Headlines za kocha wa klabu ya Man United Louis van Gaal kuhusishwa kutaka kufukuzwa na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho, March 22 wataalam wa mambo…
Ni kweli Ozil ataondoka Arsenal kwa sababu ya Wenger? ukweli wake huu
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki anayekipiga katika klabu ya Arsenal ya Uingereza, kwa sasa jina lake limekuwa likitumika kuchochea tetesi za kuwa kocha wa klabu hiyo…
Picha 25: Kutoka kwenye Uchaguzi wa Meya Jijini Dar es salaam.
March 22 umefanyika Uchaguzi wa kumtafuta Meya wa Jiji la Dar es salaam, ikiwa ni baada ya uchaguzi huo wa kuahirishwa zaidi ya mbili. Uchaguzi huo wa Meya umefanyika kwa…
Kama utapata nafasi ya kutembelea jiji la Barcelona, Messi anafungua mgahawa kwa ajili yako (+Pichaz)
Jina la Lionel Messi sio geni duniani kote kutokana na umahiri wake na urafiki wake mkubwa na tuzo za Ballon d'Or kwa ndio mchezaji anayeongoza kwa kutwaa tuzo hizo mara…
Soudy Brown kampata Nyoshi kwenye U HEARD kuhusu uhusiano wa Maji na weupe wake.
Ikiwa leo March 22, 2015 Dunia inaadhimisha siku ya maji.. SOUDY BROWN ametuleta U HEARD kupitia XXL ya Clouds FM ambapo amemtafuta mwimbaji ambaye ni kiongozi wa bendi ya FM…