Hii ndio ndinga mpya ya msanii Shilole asema bye bye Mark X…
Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang'anyang'a shilole leo March 20, 2016 kupitia kwenye…
Vichwa 6 vya Habari kwenye TV za Tanzania March 20, 2016
Kama ukupata time ya kutazama Taarifa ya Habari March 20, 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kuvitazama vichwa vya habari vilivyosomwa kwenye TV za Tanzania. . Hii pia ni kutoka ITV…
Cyril Kamikaze kaguswa na headlines za Mkali wa Hip Hop Chid Benz, kayaandika haya
Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zinazidi kuchukua nafasi katika mitandao mbalimbali, sasa leo March 20, 2016 mkali Cyril Kamikaze kupitia…
Good News: Mdundo wa Sauti Sol na Alikiba tayari umepokelewa kwenye kituo hiki kikubwa cha TV
Leo March 20 2016 mdundo wa 'Unconditionally Bae' uliofanywa na mastaa Saut Sol kutokea Kenya na Alikiba wa Tanzania, umefanikiwa kuchezwa kama Brand new kwenye kituo cha kimataifa nchini Ufaransa Trace…
Sentensi za CCM kuhusu uteuzi wa msemaji mpya wa chama aliyechukua nafasi ya Waziri Nape
Ni March 20, 2016 ambapo chama cha mapinduzi kilifanya mkutano na waandishi wa habari na kumtangaza msemaji mpya wa chama cha mapindizi baada ya waziri Nape kuteuliwa kufanya kazi za…
Jinsi mgombea urais kupitia CCM Dkt Shein na Makamu wa urais wa Tanzania walivyoshiriki kupiga kura..(+Video)
Leo march 20 2016 Wananchi wa Zanzibar wamepata fursa ya kupiga kura na kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016.…
Yaliyonifikia hivi sasa kuhusu hali ya usalama visiwani Zanzibar…. (+Video)
Bado headline zinazochukua nafasi kubwa kwa siku ya leo March 20 2016, ni hii ya marudio ya uchaguzi wa Zanzibar ambao awali matokeo yalifutwa kwa kile kilichoelezwa kujitokeza kwa kasoro…
Picha 12 kutokea Zanzibar kwenye uchaguzi wa Marudio, hali ya utulivu ikoje?, Rais Shein?
Leo march 20 2016 Wananchi wa Zanzibar wamepata fursa ya kupiga kura na kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016.…
Pichaz 12: kutoka kwenye uzinduzi wa Miss Tanzania Dar es Salaam
March 19, 2016 shindano la miss Tanzania lilizinduliwa rasmi Dar es salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo Nape Nnauye na kufanyika bonge la show kutoka msanii…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 20 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 20 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…