Taaluma ya Madaktari Bingwa wa kinywa na meno, imewafikia watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albinisim), Shinyanga…(+Pichaz).
Madaktari Bingwa wa Kinywa na Meno kutoka kwenye mikoa tofauti Tanzania wengine kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, wameamua kuitumia taaluma yao kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albinism), kusikia na…
Video 5 za juu kwenye chati ya Urban Top 10 Trace TV ikiwemo ya mtanzania
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa. Usiku…
Ukiwa staa kila kitu rekodi, Ronaldo ndio mwanamichezo wa kwanza duniani kuvaa kiatu hiki …
Mastaa ni watu ambao vitu vyao vingi wanavyovifanya huwa vinawekwa katika kumbukumbu ya kila siku, iwe na watu wa rekodi au hata mashabiki wao, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa…
Video: Vitendo vinavyoendelea Zanzibar vimeigusa CUF, na haya ndio maamuzi yao…
March 17 2016 Chama cha Wananchi CUF kilijitokeza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam kupitia Naibu katibu Mkuu Magdalena Sakaya kuitaka Serikali iingilie kati vitendo vinavyofanywa na watu wanaojiita…
Shindano la Miss Tanzania limeletwa tena kwa watanzania, kazi inaanza March 19
Najua nina watu wangu wanaopenda headline za Ma Miss sasa good news ni kwamba shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania limerudi rasmi na linatarajiwa kuzinduliwa Jumamosi March 19 2016 Dar…
Asteria… mtangazaji mpya AyoTV anaetukutanisha na hizi 3 za Vanessa Mdee, Idris na Baraka
Kutana na stori zilizoanzia Instagram lakini mtangazaji mpya wa AyoTV Asteria akazifanyia muendelezo na zikawa na details za kutosha kwa kupata ufafanuzi kwa wahusika wenyewe, tazama Vanessa Mdee alivyotafuta Dancers…
VIDEO: Vyama vingine vya siasa vimeongea tena leo, ni kuhusu uchaguzi wa marudio Zanzibar
Leo March 17 2016 headline nyingine ni kutoka kwa Vyama visivyo na uwakilishi bungeni ikiwa ni pamoja na DP, CCK, SAU, AFP, TLP, ADA TADEA, UPDP, D. MAKINI, NRA, UMD, CHAUSTA…
Zikiwa zimebaki siku 3 kufanyika uchaguzi wa Marudio Zanzibar, CUF wameyazungumza haya….
March 20 2016 ni siku ambayo Uchaguzi wa marudio Zanzibar utafanyika, zikiwa zimebaki siku chache kufanywa kwa uchaguzi huo, matukio mbalimbali yamekuwa yakichukua vichwa vya habari ikiwamo nyumba ya Kamshina wa…
Top 10 news kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 17 2016
Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti leo March 17 2016, kila siku huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/710335257690705920 https://twitter.com/millardayo/status/710336015341326336 https://twitter.com/millardayo/status/710339649131126784 https://twitter.com/millardayo/status/710340813113401344 https://twitter.com/millardayo/status/710350659745406976 https://twitter.com/millardayo/status/710349141747093504…
Kutoka makao makuu ya Yanga, haya ni mambo matatu aliyoyaongea kocha wao leo
Klabu ya Dar Es Salaam Young Africans Jumamosi ya March 19 itarudiana na klabu ya APR ya Rwanda katika mchezo wake wa pili wa raundi ya pili ya michuano ya…