Nakukaribisha kuisikiliza hii single ‘Kwetu’ ya msanii mpya kutoka WCB Raymond
Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya FreeStyle mkoa wa Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar akaibuka pia mshindi ndipo TipTop Connection ilipomchukua…
Maamuzi mapya ya Simba kwa Is-haka na mpango wao wa kuifikisha TFF kwa waziri Nape
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba March 16 kupitia kwa mkuu wao wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza maamuzi mapya kuhusu nahodha wao msaidizi…
Zisikupite hizi #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 16, 2016
Kama kuna stori kubwa hujaipata leo, unaweza kupitia Tweets hizi hapa kutoka Magazetini Tanzania mtu wangu, zote zenye stori kubwa huwa nazisogeza Twitter kwenye account ya @millardayo kila siku, za leo 10 kubwa…
Pichaz 20: Mastaa wa bongo walivyomuandalia party Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda
March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March…
List ya madaraja makubwa Dar Es Salaam inazidi kuongezeka, nimenasa pichaz za ujenzi wa daraja la Buguruni
Dar Es Salaam ni moja kati ya miji 10 inayoongoza kwa kuishi watu wengi barani Afrika, serikali nayo imeamua kuboresha miundombinu ili kuendana na idadi ya watu waliopo. Najua wengi…
VIDEO: Rais Magufuli kayatoa masaa 360 ya kuwashughulikia wanaolipwa mishahara hewa
March 15 2016 wakuu wapya wa mikoa nchini walikuwa wakiapisha Ikulu, Dar es salaam. Licha ya kuwa ndio kwanza wamepewa viapo, lakini Rais John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu hao wa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 16 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Maneno aliyotoa Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuhusu muziki wa Tanzania sasa hivi anavyowaona vijana
Tunao wabunge kama Profesa Jay ambaye alitokea kwenye muziki lakini sasa hivi ni mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro, wiki iliyopita alisema mwaka anaweza akatoa ngoma mpya, March 15 katika…
Maneno ya Edward Lowassa baada ya kusikia waliomuunga mkono wanaendelea kufukuzwa CCM
Edward Lowassa ameyasema yafuatayo >>> 'Kuna mambo yanayotokea kule CCM nadhani wameumia kidogo na sasa wanaanza kulalamika Lowassa anavyowapotezea Ruzuku, lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu…
Kaka anasema Maria Carey kakataa kumlipia matibabu dada yake anayeishi na virusi vya UKIMWI
Kaka mkubwa wa Pop Queen Maria Carey, Morgan Carey (51) ametokea hadharani na kutoa lawama na ukweli kuhusu msimamo wa Maria Carey kukataa kutoa pesa ya kumtibu au kusaidia malipo ya matibabu…