VIDEO: Jamaa wa Usalama walivyomdaka aliyetaka kumrukia mgombea Urais Donald Trump Marekani
Homa na mitetemo ya hasira kwa Wananchi wanaofatilia siasa hasa kwenye chaguzi kuu za nchi huwa ipo kila tukio hili kubwa linapofanyika, kuona watu wamepigana, kutoa lugha nzito au kuonyesha…
Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania March 15
Huenda ukawa Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 15 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka TBC 1. Rais…
Messi kavunja rekodi nyingi FC Barcelona, ila hii ndio inayomuumiza kichwa kuivunja
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi ameweka na kuvunja rekodi nyingi akiwa ndani ya klabu ya FC Barcelona ya Hispania, ila March…
Kilichomchekesha Rais Magufuli Ikulu
Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, watano wamehamishwa vituo vya kazi…
Eti kama hili likiendelea, Arsene Wenger atajiuzulu kuendelea kuifundisha Arsenal
Bado headlines za makocha wa vilabu vya Ligi Kuu Uingereza zinazidi kushika kasi katika vyombo vya habari vya Uingereza, kocha wa Man United Louis van Gaal na aliyekuwa kocha wa Chelsea…
VIDEO: Jingine jipya la gesi iliyogunduliwa Bonde la Ruvu mkoa wa Pwani
Siku kadhaa zilizopita Serikali ilikuja na habari mpya kuwa gesi imegunduliwa katika bonde la Ruvu mkoani Pwani. Leo March 15 2016 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ametoa tamko rasmi kwamba gesi…
Harusi mbili za mashabiki wa soka duniani ambazo zipo kwenye kumbukumbu za kipekee
Mashabiki wa soka ni watu ambao hupenda kufanya vitu kwa ajili ya mapenzi na timu au wachezaji wao, mtu wangu wa nguvu, nimekutana na harusi mbili ambazo huenda zikawa zinashangaza…
Polisi wamezungumzia bomu lililorushwa kwenye nyumba ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar
March 15 2016 kituo cha ITV kiliripoti taarifa kutoka visiwani Zanzibar ambapo ilidaiwa kuwa na taarifa za watu wasiojulikana kurusha bomu nyumbani kwa Kamishna wa jeshi la polisi Visiwani Zanzibar eneo…
Ni kweli Bob junior alikamatwa na kushikiliwa na Polisi kwa zaidi ya saa 20 Magomeni, ( stori kamili ninayo hapa)
Ni headlines zilizochukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali kuhusiana na msanii Bob Junior kukamatwa na jeshi la polisi, kilichotokea ni kweli kwamba Bob Junior alikamatwa na Polisi na kushikiliwa kwa…
Mfahamu Manager mpya wa AY…255(+Audio)
March 15 2016 kupitia 255 ya clouds FM zipo stori ambazo zimepata airtime, millardayo.com inakupatia stori zote ambazo zimepata airtime, stori moja wapo ambayo imepata airtime ni pamoja na AY…