Pichaz 20, za washindi wa tuzo za Africa Magic Viewer’s choice Awards walipopeleka tuzo kwa Makamu wa Rais…
March 13 2016 washindi wa tuzo ya Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016, Single Mtambalike na Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo waamezipeleka tuzo zao mbili nyumbani kwa Makamu wa Rais Mama…
Kama kilikupita kipigo cha Arsenal na sare ya Man United FA Cup March 13, magoli haya
Jumapili ya March 13 Kombe la FA nchini Uingereza limeendelea kama kawaida kwa vilabu kadhaa kushuka dimbani kucheza mechi yake ya raundi ya sita ya michuano hiyo. March 13 michezo…
VIDEO: Saa chache kabla ya kutangazwa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda alifanya haya kwanza
Saa chache kabla ya kutangwa kuteuliwa na Rais Rais John Pombe Magufuli kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Leo march 13 2016 Paul Makonda akiwa bado ni Mkuu…
Awadh Juma kaipatia Simba point tatu dakika ya 88 (+Pichaz)
Wakati watani zao wa jadi Yanga wamemaliza kucheza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda kwa ushindi wa…
Mpya za Rais Magufuli kwenye uongozi wa TRA na TAKUKURU March 13 2016
Taarifa ambayo imetolewa na kaimu mkurugenzi mkuu wa mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili…
BREAKING: Rais Magufuli kateua Wakuu wapya wa mikoa… yumo na Paul Makonda, orodha kamili ninayo hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika…
Picha 12 Dc Makonda alivyozindua jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la upasuaji hospitali ya Mwananyamala
Leo march 13 2016, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda anaadhimisha mwaka mmoja tangu kuteuliwa kwake kuiongoza Wilaya hiyo, lakini jambo zuri zaidi alilolifanya katika siku hii ni pamoja…
Mabibi na mabwana Chege Chigunda kawasogezea video ya mdundo wake wa ‘Sweety Sweety Dance’
Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigunda kaisogea hii nyingine inayokwenda kwa jina la 'Sweety Sweety Dance' ndani yake akiwa amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa na directer…
Midundo 20 iliyong’aa kwenye CloudsFM Top 20 weekend ya March 13 2016
Ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kila Jumapili CloudsFM kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa 7 ikiwa na mkusanyiko wa midundo 20 mikubwa ya wiki. #OnAirwithMillardayo #CloudsFMTop20 #March132016 #20…
Video ya Dakika 5 za Mchekeshaji Mc Pilipili na utani wake kwa warembo wa bongo
March 12 2016 kulifanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina la Malkia wa Nguvu ambazo ziliandaliwa na Clouds Media Group na kutolewa Dar es saalam, burudani pia ilichukua…