Video 10 kali za muziki Afrika wiki hii kwenye Top10 ya Trace TV.. ziko 2 tu kutoka Tanzania
Hakuna asiependa kujua kwenye bara hili kubwa za Afrika ni nani anaetamba zaidi kupitia kituo cha TV cha TRACE Urban ambacho kimekua kikitajwa kwa ubora wa muziki unaopigwa na Watazamaji…
Habari 9 kubwa kwenye TV za Tanzania March 10
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 10 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tisa kubwa kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka Channel 10...Watano Wafa…
Instagram wiki hii: Rammy yuko kwa Masogange? V kwa Kanye West je? Lulu na Nigeria…
AyoTV itakua ikikukutanisha na stori za mastaa kwenye mitandao ya kijamii wanayoimiliki ambapo Asteria Mvungi leo anakukutanisha na kilichopatikana wiki hii, jibu la Rammy Galis kuhusu mapenzi na Masogange, Kanye…
Instagram: Hii haikumpendeza Lulu… aliandika haya maneno lakini akaifuta post baadae
Wengi wamefurahia ushindi wa Waigizaji wa Tanzania Lulu pamoja na Richie kwenye tuzo za Africa Magic Viewer's Choice Awards 2016 na sasa tumeendelea kushuhudia comments na post mbalimbali kwenye mitandao…
VIDEO: Mbunge wa Ubungo akisimulia alivyokamatwa na Polisi kisa zile vurugu za uchaguzi wa Meya
Leo March 10 2016 Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amehitajika polisi kwa tuhuma za kuhusika na vurugu wakati uchaguzi huo ulipoahirishwa February 27 2016. Saed Kubenea ameelezea kuhusiana na wito huo…
PICHA 4: Rais Magufuli alivyokwenda benki kuu ya Tanzania kwa kushtukiza
March 10 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo…
Kama ulifikiwa na taarifa za Rich Mavoko kuchukuliwa na Diamond Platnumz
Kumekuwepo na taarifa kwamba msanii wa bongofleva Rich Mavoco amechukuliwa na sasa kazi zake zitakua zinasimamiwa na lebo ya Diamond Platnumz 'WCB' na aliyenukuliwa akisema hivyo ni Harmonize ambaye ni…
Nay wa Mitego kafunguka kuhusu mrembo aliyeshiriki kwenye video ya ‘Shika adabu yako’ pesa aliyomlipa?…(+Audio)
Kwenye U Heard ya Soudy Brown March 10 2016 amefanya Mahojiano na msanii kutoka kiwanda cha Bongofleva staa anayemiliki hitsong ya 'Shika adabu yako' 'Nay wa Mitego,' baada ya Soudy…
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alivyokamatwa na Polisi Leo Dar
Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam umezidi kuchukua vichwa vya habari baada ya kuahirishwa mara kadhaa na hata mara ya mwisho kuibuka kwa vurugu ambazo zilipelekea baadhi…
Kama na wewe unakwepa kulipa kodi hili likufikie sasa kutoka Wizara ya Fedha
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imepokea msaada wa fedha kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 5 kwaajili ya kusupport mamlaka ya mapato katika kuongeza kipato nchini…