VideoMPYA: Linah kaifanyia video ‘malkia wa nguvu’
Kama umekua karibu na CloudsFM utakua umesikia kipisi cha wimbo wa 'malkia wa nguvu' ambao sauti zake humo ndani anasikika Linah pia, video ndio hii imetoka unaweza kuitazama alafu uniachie comment…
Video fupi zikionyesha jinsi mwigizaji Lulu alivyopokewa Airport Dar baada ya kushinda tuzo Nigeria
Jumamosi ya March 5 2016 Waigizaji wawili wa Tanzania walishinda tuzo kwenye tukio la Africa Magic Viewer's choice Awards 2016 huko Lagos Nigeria ambao ni Single Mtambalike 'Richie' na Elizabeth Michael…
Baada ya Moshi wa soko la samaki Ferry kuingia Ikulu sana, hili ndilo limetendeka leo
Ishu ya Moshi kutoka soko la samaki Ferry kuingia Ikulu ilichukua vichwa vya habari mwanzoni mwa mwaka huu baada ya moshi huo wa majiko kuwa unaingia mpaka kwenye makazi ya Rais…
Taarifa kuhusiana na Baba wa msanii Q Chila kutolewa vitu vya ndani nje…(U Heard +Audio)
U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 8 2016 leo inamuhusu Baba mzazi wa msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani Q Chila kutolewa vitu vya ndani nje…
Mwigizaji Nisha kayaongea haya kuhusiana na Baraka da Prince…Hizi ndio Sifa za Mwanaume anayemtaka Maua Sama…(255 +Audio)
March 8 2016 ni siku ya wanawake Dunia, kama wewe ni mpenzi wa burudani leo kupitia 255 ya Clouds FM story zilizopata airtime ni pamoja na hizi, 'Nikiwaga nyumbani napenda…
UPDATE: Maalim Seif alipatwa kizunguzungu kikali uwanja wa ndege Zanzibar, ya leo ni hii
Baada ya katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif kurejea kutoka India alipokuwa anafanyiwa upasuaji wa Mgongo na kwa mujibu wa Daktari wake upasuaji ulifanikiwa na aliporejea alikuwa na afya njema…
Mwanamke aliyetoroka kwa Mama mkwe Musoma kwenda Dar kumtafuta Mama yake mzazi yameibuka haya..(+Audio)
March 8 2016 siku ya Wanawake Dunia kupitia Hekaheka ya Clouds FM leo Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomuhusu mwanamke aliyetoroka musoma kwa tuhuma za kutaka kukeketwa na Mama mkwe wake…
Viwango vipya vya sukari vimetangazwa leo, onyo latolewa kwa watakaobainika kupandisha bei
Siku chache baada ya Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutangaza zuio la uingizwaji wa bidhaa ya sukari kutoka nje ya nchi, leo March 8 2016 Serikali kupitia bodi…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 8 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
March 8 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kumba leo ni pamoja na hizi Polisi Jela miaka 160 kwa kukutwa…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 8 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo
March 8 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…