Yanayotajwa kuwa magoli bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa muda wote (+Video)
Mtu wangu wa nguvu huu ndio wakati wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inapozidi kuleta mvuto, kwani timu vigogo ndio zinakaribia kukutana, kuanzia March 8 ndio tutashuhudia hatua ya…
Barakah da prince kamtelekeza mtoto? anayedaiwa kuwa mzazi mwenzie kaongea…(You heard+Audio)
Kwenye U Heard ya clouds FM leo inamuhusu staa wa bongofleva Baraka da Prince, kuhusiana na staa huyo kupata mtoto Soudy Brown amepiga stori na msichana ambaye anadaiwa kupata mtoto na…
Stori za Instagram: Ray, Vanessa Mdee, Dogo Janja, Diamond na Nay wa mitego.
AyoTV itakua inakuletea stori zote za mastaa wa Tanzania kutoka kwenye mitandao yao ya kijamii kama Instagram, Facebook na Twitter.... kwenye hii video hapa chini kuna stori kutoka kwa Ray,…
Tunda Man na style moja ya kuimba..?Diamond Platinumz kuhusu kutumia jina la Z Anto kwa Wasichana…?(+Audio)
Mtu wangu wa nguvu millardayo.com inakupatia stori zote ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya Clouds FM moja kati ya stori zilizosikika March 1 2016 ni pamoja na hii ya Tunda…
kilichomtokea Mama aliyempiga na kumjeruhi mtoto wa kazi za ndani, Magomeni Dar…(+Audio)
March 1 2016 kwenye Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea hekaheka iliyotokea Magomeni Dar es salaam hii ni baada ya Mtoto kupigwa na Mama anayeishi naye, tukio ambalo limepelekea…
Mabadiliko ya bei za Petroli, Diesel na mafuta ya Taa Tanzania kwa March 2016 yametangazwa
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petrol, Diesel na ya mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla…
Familia ya marehemu Banza Stone imepata misiba miwili ndani ya dakika 100
February 29 2016 misiba miwili imetokea kwenye familia ya marehemu Banza Stone aliyekua mwimbaji hodari wa muziki wa dance Tanzania tokea miaka hiyo, misiba hii miwili imetokea siku 227 toka kutokea kifo…
Baada ya chama cha walimu kukosoa mpango wa ‘Daladala za bure’ Dc Makonda kawajibu hapa (+Audio)
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda Jumapili ya February 28 2016 alitangaza kuwa Walimu wa shule za Dar es salaam wataanza kupanda daladala bure kuanzia March 7 2016 baada ya kukubaliana na…
Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 1 2016…#PowerBreakfast (+Audio)
Uchambuzi wa magazeti March 1 2016 kwenye Power Breakfast ya Clouds FM habari kubwa leo ni pamoja na hii, Majaliwa amtumbua Daktari jipu kwa shilingi laki moja, atoa maagizo mazito…
Majambazi wameuawa Arusha, maneno 14 waliyomuandikia kamanda Kova yakutwa kwenye karatasi
Jeshi la Polisi Arusha limewaua majambazi watatu waliokuwa wakihusika na matukio ya wizi ambapo lilipovamia kwenye makazi yao, lilikuta milipuko ya mabomu, bunduki, mavazi ya jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na ujumbe…