Waziri Mkuu Majaliwa kamsimamisha kazi Daktari kwa kuomba rushwa ya Laki moja …(+Audio)
February 29 2016 stori kutokea Mtwara, ilikuwa ni hii ishu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumsimamisha kazi mmoja wa Madaktari wa hospitali ya Rufaa ya Wilaya mkoani hapo. Daktari huyo…
VIDEO: Halima Mdee alazwa Rumande, Wakili wake kaongea
February 29 2016 Jeshi la Polisi Dar es salaam linamshikilia Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa tuhuma za kufanya shambulizi la kumpiga mtu, tukio linalodaiwa kutokea siku ya February 27 wakati…
Watu 258 wamefariki kwa ugonjwa wa Kipindupindu Tanzania
Leo February 29 2016 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa ripoti ya Ugonjwa wa Kipindupindu kwa wiki ya mwisho ya mwezi february…
Vichwa 10 vya Habari kwenye TV za Tanzania Feb 29 2016
Kama ukupata time ya kutazama Taarifa ya Habari February 29 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kuvitazama vichwa vya habari vilivyosomwa kwenye TV za Tanzania. Habari kutoka Channel 10...Rushwa Hospitali Ya…
Simba imemsimamisha kazi nahodha wake msaidizi, atalipwa nusu mshahara (+Video)
February 29 uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana nahodha msaidizi wa timu…
Top 10 ya habari kubwa za AMPLIFAYA February 29 2016
Amplifaya ni show ya Radio ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja jioni on CloudsFM ikizirusha habari kumi kubwa za siku ambazo ni mchanganyiko wa burudani, michezo, siasa, muziki…
Halima Mdee na wenzake wafikishwa Polisi kwa tuhuma za kumshambulia mtu
Jeshi la Polisi Dar es salaam linawahoji baadhi ya wanasiasa kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pia yupo Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa tuhuma za kuhusika na vurugu…
Familia ya marehemu Banza Stone imempoteza mama na dada wa Banza leo
February 29 familia ya marehemu msanii wa muziki wa dansi Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone imepata pigo tena tena ikiwa ni zaidi ya miezi minne imepita toka impoteze msanii…
VIDEO: Mabibi na mabwana, Harmonize ft Diamond Platnumz wamekusogezea hii ya ‘Bado’
Staa wa bongo fleva na mmiliki wa mdundo wa 'Aiyola' Harmonize, leo anakualika tena kuutazama huu mpya alioshirikiana na Diamond Platnumz, Mdundo unaitwa 'Bado' Kuutazama Bonyeza hapa chini mtu wangu....…
Chege kashindwa kuvunja nazi kwa ugoko? Mwana FA amegundua nini baada ya hitsong ya Asanteni kwa kuja….
Kupitia 255 ya Clouds FM february 29 2016 stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Chege chigunda kutakiwa kubadilisha a.k.a yake baada ya kushindwa kuvunja nazi kwa ugoko. 'Nijiite mvunja…