Baraka da Prince akasirishwa kuona Linex kasema amefanya upuuzi kusambaza video ya Mwanamke Whatsapp
Kupitia kwa Soudy Brown kwenye YOU HEARD ya CloudsFM, mwimbaji staa wa bongofleva Linex alihojiwa kuhusu ishu inayoendelea kwenye mtandao wa Whatsapp ya kusambazwa kwa video ya mpenzi mpya wa…
Producer Scott Storch wa Marekani hakupenda kuona Mtanzania Lamar kapost beat yake Instagram? tazama comments zake
Usiku wa February 23 2016 Producer Mtanzania Lamar alipost video akiwa studio kwake na spika zikitoa mdundo mmoja mkali alafu akaandika caption yenye swali, watu wacomment kumwambia Msanii gani atafaa…
Nimekurekodia Magazeti ya yakisomwa kwenye Radio leo Feb 24 Power Breakfast
Baadhi ya stori zilizopewa uzito ni pamoja na Rais Magufuli aongeza kasi ya utendaji vivuko vya feri Dar, ni tangu alipoamua kufanya ziara ya kushtukiza kivukoni hapo, Naibu Waziri 'TAMISEMI', Selemani Jafo…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 24 2016 kwenye udaku, hardnews na michezo
February 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Zimenifikia kurasa za mbele za magazeti ya Uingereza ya Leo February 24
Wakati tunasubiria kuraza za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania ya February 24 kujua yalichoandika, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee kurasa za mbele za magazeti ya Uingereza ya…
Tekno kahojiwa kwenye Radio… hataki tena kuulizwa kuhusu Mrembo Mtanzania Gigy money.
Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya 'wash'…
Kama ulikamatwa na Polisi barabarani Dar mwezi huu, faini yako imeijazia BILIONI MOJA kama ifuatavyo
Kikosi cha usalama barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi BILIONI MOJA NUKTA TISA (1.9) kutokana na faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani…
Kwa Mabachela na wenye familia mnaotaka nyumba nzuri za kuishi… kuna hizi idea
Najua sehemu nyingine ya Watu wangu wa nguvu ni Mabachela.... watu wanaishi mmojammoja wakati wakiendeleza harakati za kutafuta maisha town... na inawezekana umepanga au una ujenzi wa nyumba mikononi mwako ndio…
Kama ni mtumiaji wa Instagram inabidi uyajue haya mabadiliko kwenye kila video utayopost
Walisema Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na watumiaji wengi wa mtandao wa kijamii wa Instagram na ndio maana naamini mabadiliko yaliyotokea yanatakiwa kuwafikia Watanzania. Kama hujagundua kwenye page yako ya…
Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech
Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa…