Picha 15 kilivyohappen kwenye show ya usiku wa switch Club Bilcanas
Mtu wangu wa nguvu usiku wa Feb 22 muanzilishi wa bongo fleva Dully sykes na wakali wengine kwenye kiwanda cha bongofleva walifanya show club bilcanas Dar. show ambayo ilipewa jina…
Waziri wa Rais Magufuli kawasimamisha kazi hawa wengine watatu kwa ubadhirifu wa mali za Umma
Leo feb 22 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angela Kairuki ametangaza kumsimamisha kazi Mkuu wa chuo cha Utumishi wa Umma na Wakurugenzi wawili wa chuo kwa tuhuma…
Yafuatayo ni maneno 44 yaliyoandikwa na Lulu baada ya kuzushiwa kifo….
Elizabeth Michael 'Lulu' ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, hii leo Feb 22 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram kuhusu kuzushiwa kifo. >>>'Nasikia nimekufa wewe…
Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22
Baada ya ushindi wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi kuu, Feb 20, dhidi ya klabu ya Simba, Klabu ya Yanga imetoa taarifa mpya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya klabu…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 22 2016 kwenye, Hardnews na michezo
February 22 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Kama ulikuwa hufahamu, hii ndio list ya viwanja 10 vyenye thamani zaidi Afrika, uwanja wa Taifa upo pia
Huenda ukawa upo Tanzania lakini hili ukawa hulifahamu mtu wangu, tumezoea kusikia kuwa Tanzania ni nchi ambayo inatambulishwa vivutio vya utalii hususani mlima Kilimanjaro. February 22 katika pitapita zangu www.sportstardom.com nimekutana na list…
Kama ulikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Man City, magoli yote yapo hapa, Full Time 5-1 Feb 21
February 20 Kombe la FA Uingereza liliendelea kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja vitatu Uingereza, klabu ya Blackburn Rovers walikuwa wenyeji wa West Ham United, Tottenham Hotspur walikuwa wenyeji wa Crystal…
VIDEO: Akothee kuanzia Udereva Taxi Kenya mpaka muziki na kolabo na Diamond
Akothee ni mwimbaji kutoka Kenya ambaye ameanza kupita mbele ya macho ya Watanzania kutokana na wimbo aliomshirikisha Diamond, Akothee alikuja Tanzania na kufanya hii Interview na Mtangazaji Millard Ayo, tazama…
Video ya magoli yote ya Yanga vs Simba 2-0 Feb 20 2016
February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya Yanga vs Simba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0, ikiwa ni…
Top 10 news kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania February 21 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa…