VIDEO: Marehemu John Woka alivyoagwa leo Dar, Feb 17 2016
Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao…
Wema Sepetu kathibitisha ujauzito wake kuharibika… kaandika haya maneno 73
Hii ni post aliyoiandika Mwigizaji Wema Sepetu saa kadhaa baada ya Baba Watoto mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuthibitisha kwamba ujauzito huo wa mapacha umeharibika. Ni kweli, na…
Picha 13 Kutoka Muhimbili Dar, Raia walivyojitokeza kwenye msiba wa John Woka leo Feb 17 2016
Tayari ripota wa millardayo.com ameyakusanya matukio yote makubwa kutokea Muhimbili Dar, time hii wananchi wakiuaga mwili wa Marehemu John Woka kwaajili ya kwenda kanisani kwa sala kisha kuelekea nyumbani Tanga…
Picha 15: Mke wa Rais Magufuli alivyoaga shule aliyoifundisha kabla JPM hajawa Rais
Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Osterbay Dar es salaam, ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma…
Kutoka kwenye eneo la chanzo cha kifo cha msanii John Woka
John Woka ni miongoni mwa Wasanii wa longtime Tanzania ambapo umaarufu wa jina lake uliongezeka kutokana na ubunifu wake wa kurap kama Mlevi, kwenye hii video hapa chini kuna maelezo…
Barua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff kutoka gerezani China
Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 17 2016 kwenye udaku, Hardnews na michezo
February 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Elias Maguli kayaongea ya moyoni kuhusu kocha Patrick kutompanga kikosini ‘amekua na mambo ya Kiafrika’
Kwa yeyote anaemfahamu mshambuliaji wa Taifa Stars Elias Maguli na mwenye taarifa za kutopangwa kwake kwenye kikosi cha timu yake ya Stand United ya Shinyanga atakua anajiuliza kwanini hachezi au hapewi…
Idris Sultan alikuwa anatarajia watoto mapacha ? haya ndio aliyoandika …
Usiku wa February 16 kuamkia February 17 jamaa ambaye jina lake lilizidi kukua baada ya ushindi wa shindano la Big Brother Idris Sultan, aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha…
Chelsea yapokea kipigigo dhidi ya PSG, lakini wamevunja rekodi hii ya PSG (+Video)
Hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imechezwa usiku wa February 16 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Parc des Princes na Estádio da Luz, michezo miwili iliyopigwa usiku huo…